Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Hahahaa! Wewe si ulikua unapata mahubiri😂😂😂Rudia
Hahahaa! Wewe si ulikua unapata mahubiri😂😂😂Rudia
Hio nilipiga mchana doh kulala na jeans mimi hapana aisee!
mi sijaona,mnanibaguaHahahaaa..kama umeona furesh basi!!!
Weeeh kumbe! Nilikua sijuiii!!Si kupata uhondo kamili sasa kitu kinafutwa chini ya sekunde 30 na unajua akili ya binadamu unapoona picha mpaka iitafsiri irudishe majibu ndio upate la kusema inachukua 2 minute
Binti sayuniYawezekana anacheza na akili yako bila wewe kujua.


Una uhakika muda unaruhusu kucheza naye?Binti sayuni
Mimi bado nacheza na shety
Kombolela![]()
Fanya kurudia aiseeWeeeh kumbe! Nilikua sijuiii!!
Binti sayuniHahahaa! Wewe si ulikua unapata mahubiri![]()
Hapana mkuu nimetuma humuhumuuuuu!!!mi sijaona,mnanibagua
Sana tuUna uhakika muda unaruhusu kucheza naye?

Neno la Mungu ndo la msingi picha zipo tu😜😳!Binti sayuni
Kanikosesha uhondo
itume tena mkuu,nilikuwa pm huko kuja kurudi umeshaifutaHapana sija
Hapana mkuu nimetuma humuhumuuuuu!!!
Wapi weweNeno la Mungu ndo la msingi picha zipo tu!
Unao muda?Sana tu
Nishakujibu mtakatifu
Nipe mapumziko sasa![]()
Watu hawaelewi, neno tupa kule, picha ndio habari, ngoja niwaambie wadau kwamba upo vizuri kuliko hata hio vizuri!Neno la Mungu ndo la msingi picha zipo tu!
Kumbe unaongea hivo!!😜😜 Hakuna haja bana nishatupia nyingi sana humu!!Watu hawaelewi, neno tupa kule, picha ndio habari, ngoja niwaambie wadau kwamba upo vizuri kuliko hata hio vizuri!
Aminnn imetoka hioooo 🤸🤸🤸🤸🤣🤣! Kesho nayo siku mkuu!Tafwadhalii
Ikupendeze tu