Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,889
- 37,851
TenaaAcheni basi ukuda hebu kaogeni tafadhali [emoji23]
TenaaAcheni basi ukuda hebu kaogeni tafadhali [emoji23]
Nimeoga nikapaka mafuta kabisa nimesubiri mpka nimepauka Tena🤣🤣!!Watu hamsahau jaman 🤪
UniombeeSawa mkuu nimekuelewa[emoji120].
Wavunje Na vishoka😁Mkanawe uso mje mmefuta maji yote usoni na mmepaka mafuta sura zimeng'aa ... Natuma hadi suraaaa 🤣🤣🤣🤣🙄🙄🙄!!!
Hakii Umetuweza!Wavunje Na vishoka😁
Kaoge tena upake mafuta usisahau kusugua miguuNimeoga nikapaka mafuta kabisa nimesubiri mpka nimepauka Tena🤣🤣!!
Bwana awapenda wampendao na wamtafutao kwa bidii watamuona.Uniombee
Jamani msilale natupia hivyooo😁😁Hakii Umetuweza!
Jamanii 🙌🙌🙌!! Imenipita hiooo😴😴😴😴Kaoge tena upake mafuta usisahau kusugua miguu
2022Bwana awapenda wampendao na wamtafutao kwa bidii watamuona.
MwambieChakorii Sie watu wazima ujueee!
🤣🤣🤣😂 Iko njiani inakuja.kaeni Kwa utulivuChakorii Sie watu wazima ujueee!
Kaeni Kwa utulivu jamanMwambie
Ametuchomesha mahindi hadi saa 7 hii watu tumekaa kama mapopoChakorii Sie watu wazima ujueee!
Ukute ndio Yesu anarudi kutunyakua..2022
Kazi ipo
Yaniii...Ametuchomesha mahindi hadi saa 7 hii watu tumekaa kama mapopo
Niende wapi[emoji848]Ukute ndio Yesu anarudi kutunyakua..
Wewe utaenda au utabaki?
Anachotufanyia sio poa kabisa watu wazima tangu saa nne tulioga tena ona katuweka mpka saa Saba hii !!Mwambie