Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Nimeshangaa sana aisee!Unaniona mlevi sana nini wewe😅
Walevi tupige kelele ,tutokomeze juice aisee...ni kuidhallsha kambi ya ulevi.
Nimeshangaa sana aisee!Unaniona mlevi sana nini wewe😅
mkuu, uwe unavaa modo aise😂 suruali yako miguuni upana ni 36
Ila lazima nako kuna kamchepukoGheto
Home sweet home
Mkuu hii meza umei furnish vipi hio top
52mkuu, uwe unavaa modo aisesuruali yako miguuni upana ni 36
Chini alimwambia fundi kadiria tumkuu, uwe unavaa modo aise😂 suruali yako miguuni upana ni 36
alikuwa na haraka😅,huyu jamaa kama sio Mwalimu by professional basi atakuwa mtu wa kanisaniChini alimwambia fundi kadiria tu
Bado tu kuokoka sasa.Hakuna
Huwezi amini
Kausha bhanaChini alimwambia fundi kadiria tu
Ili nigundue niniBado tu kuokoka sasa.
Mwaka mpya anza na mambo mapya.

Mara ya mwisho kanisanialikuwa na haraka,huyu jamaa kama sio Mwalimu by professional basi atakuwa mtu wa kanisani
Kama mvinyo unapelekwa nyumbani kwa bwana kama sehemu ya vitakatifu who are you kuharamisha!!!!Safi sana.
Endelea kushikilia hilohilo kutafuta justification ya ulevi.
Mkuu wewe nenda kapige vyombo kadiri uwezavyoKama mvinyo unapelekwa nyumbani kwa bwana kama sehemu ya vitakatifu who are you kuharamisha!!!!View attachment 2066549
Lakini hata hivyo sio mnywaji kabisa ila sina uadui nayoMkuu wewe nenda kapige vyombo kadiri uwezavyo
Birthday yako nini
Basi usiwaingize mkenge wenzio kujaribu kuhalalisha ulevi.Lakini hata hivyo sio mnywaji kabisa ila sina uadui nayo
Hatujasahau japo muda unasonga!Mida mida ntatuma![]()
Acha ukorofiBasi usiwaingize mkenge wenzio kujaribu kuhalalisha ulevi.