Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Una pepo.
Sio kweli kupenda mbususu ni hulka ya wanaume shababiUna pepo.
N
Hapo ulipo piga magoti ufanyiwe maombi.
Asee!!!. Kwa hiyo unahesabu Miaka 22 hujakanyaga kanisani!!!Mara ya mwisho kanisani
Ilikuwa 2000 hadi leo sijui hata milango
Inafananaje
KabisaAsee!!!. Kwa hiyo unahesabu Miaka 22 hujakanyaga kanisani!!!
Mtakatifu mahindi uliyochoma hayajaiva bado nije kulaAmetuchomesha mahindi hadi saa 7 hii watu tumekaa kama mapopo
Yebooooooooo🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Mvumilivu hula mbivu endelea kusubiri
Leo siwachomeshi mahindi jamani..endeleeni kuwa watulivuAnachotufanyia sio poa kabisa watu wazima tangu saa nne tulioga tena ona katuweka mpka saa Saba hii !!
Chaaaa!Mtakatifu mahindi uliyochoma hayajaiva bado nije kula




Nimeshamuona kabisaHuyo mjuba anataka tuoane 😅 bila shaka
Anatuona wote ujueChaaaa!
Mungu anakuona
Mimi sitaki tena...! sijui wenzangu 🤣!Leo siwachomeshi mahindi jamani..endeleeni kuwa watulivu
Weka full mkuu au unaliwaza komwe

Aliweka full badae akaikata! Mganga hensamu amenona hadi unywele!🤭Weka full mkuu au unaliwaza komwe![]()