Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani nimepata awamu zote 2,japo awamu ya kwanza ile nikataka kukuquote nikaona quote haiquotiki..kumbe ukafuta!
Awamu ya pili nikaquote ili wakereketwa wa picha wakiona quote yangu wapate kale kafeeling ka kupitwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba nione wallah.
 
Wamshukuru tu keeper wao na washukuru katikati tulikuwa wabovu.
Hata hivyo nafasi ya pili tunaenda kukaa sisi maana hao chelsea wanaenda kutandikwa na kipara.
Hukunipa mchapo wa chama langu dhidi ya chama lako, najua habari unayo, Man city haijawahi niangusha ktk maisha yangu yote, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Back
Top Bottom