cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ningekuwepo jana, wallah ningeipata.Huwezi kufika bei yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ningekuwepo jana, wallah ningeipata.Huwezi kufika bei yake
Hivi kwako browser inakubali kupost picha??Browser imekuwa ya hovyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo JF inafanyiwa marekebisho.Najaribu kupost picha kupitia browser inagomaaa,, App nayo imezingua dah!
Tunasubiri mje tuwanyuke.Hukunipa mchapo wa chama langu dhidi ya chama lako, najua habari unayo, Man city haijawahi niangusha ktk maisha yangu yote, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Daaah kweli had mie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kirahisi hivyo![emoji23][emoji23]
HaikubaliHivi kwako browser inakubali kupost picha??
Balaa tupu yani ila nashukuru saivi imekubali ngoja nijaribu kutuma foto[emoji12]![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo JF inafanyiwa marekebisho.
Wewe tena!😂😂😂😂Daaah kweli had mie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mie haikubali!Haikubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maumivu hayaelezeki.Hebu muelezeni jamani namna mnajisikia[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hadi nitumie app au chromeHata mie haikubali!
Mbaya zaidi niliyeona ni mimi😂😂👌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maumivu hayaelezeki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunakuja hapo kwenu na tunawapiga mbele ya majirani zenu.Tunasubiri mje tuwanyuke.
Wanaogopa kuwaleta kwetu,,wanawapa wanyonge tu ndio mcheze nao.
Saivi app naona imekaa poa!Ni hadi nitumie app au chrome
Kabisa utume hapa, nmemiss kukuona.Balaa tupu yani ila nashukuru saivi imekubali ngoja nijaribu kutuma foto[emoji12]!
Waulize wenzio walioikosa,unadhani hawakuwepo!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ningekuwepo jana, wallah ningeipata.
Hebu ucnifanyie hivyo bhana, plz naomba nione hata kule kwa mzee wa Ruangwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe tena![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi leo nimeachana nayo baada ya kuona inanisumbuaSaivi app naona imekaa poa!
Ngoja nisicheze mbaliBalaa tupu yani ila nashukuru saivi imekubali ngoja nijaribu kutuma foto[emoji12]!
Wee unanijuaga mie hapa sibanduki, ningepata yaan [emoji23][emoji23][emoji23]Waulize wenzio walioikosa,unadhani hawakuwepo!!?
Picha ilikuja kama mwivi kiasi kwamba wateule wachache ndo tuliona.