Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
@Emiir

Umeonja saint anna na sio ulioandika
@Emiir

Ina utamu gani hiyo inanuka vibaya kama yai viza
Hapana bado! Sijui tatizo nini yani!Imepona sasa?
Mh! We itakuwa ulitest mayai viza, hii full kunukia matunda!I
Ina utamu gani hiyo inanuka vibaya kama yai viza



Wamshukuru tu keeper wao na washukuru katikati tulikuwa wabovu.
Matunda??Mh! We itakuwa ulitest mayai viza, hii full kunukia matunda!![]()
Punguza ukorofiI
Ina utamu gani hiyo inanuka vibaya kama yai viza

Binti sayuniMatunda??
Matunda gani pombe linanuka hilo.

Waume wenza kwenye picha ya pamojaHivi
Ulituma mirinda nyeusi za elfu 10
Kule![]()















Huo ni ukorofi!! Kanywe togwa huko!!Matunda??
Matunda gani pombe linanuka hilo.















Napafahmu vizuri sana...nilikuwa paje njia ya huku ya kwenda makunduchi...lakini Kwa sasa Niko dar tayarNiko shamba mwaya....Bwejuu unapajua?? Baada ya Paje.
Wewe?
Yaani maji ya uzima unaita yai viza!?I
Ina utamu gani hiyo inanuka vibaya kama yai viza
Yesssss please!!!!🤗🤗Ninayo boksi zima. Nilikutana na mtu mmoja alikuwa anayafanyia kazi alipomaliza akaniachia. Huwa nayapitia basi naishia kucheka tu. Yapo pia ya Bongo na Tabasamu. Nitakuletea hata matano![]()
Tumia Tapatalk hautakutana na hio shidaHapana bado! Sijui tatizo nini yani!
Nilipewa hiyo pombe.Yaani maji ya uzima unaita yai viza!?
Togwa yenyewe inanuka vibaya ila hainuki uvundo huoHuo ni ukorofi!! Kanywe togwa huko!!
![]()