Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,176
- 35,288
Una mambo mazito HS[emoji23]Daah Maki wewe si wa kunifanyia hivi jamani[emoji54][emoji54]
BTW....Happy New year Mpendwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mambo mazito HS[emoji23]Daah Maki wewe si wa kunifanyia hivi jamani[emoji54][emoji54]
Yaani pamoja na kuweka kote mara 2 ila kuna watu hawajaambulia awamu yoyote[emoji1787]
Niliona...Mambo yalikuwa mazito sana[emoji23]Aliweka awamu mbili
Haukuscreenshost unipmAliweka awamu mbili
Yaani nimepata awamu zote 2,japo awamu ya kwanza ile nikataka kukuquote nikaona quote haiquotiki..kumbe ukafuta!Mama sipitwi
Ninazo zote 2🙂Haukuscreenshost unipm
Fanya namna nizione basi MtakatifuNinazo zote 2[emoji846]
Yaani nimepata awamu zote 2,japo awamu ya kwanza ile nikataka kukuquote nikaona quote haiquotiki..kumbe ukafuta!
Awamu ya pili nikaquote ili wakereketwa wa picha wakiona quote yangu wapate kale kafeeling ka kupitwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana Roho mtakatifu alikuwa ananipitisha haya maeneo..sikuelewa sababu😂😂Ukajiunge na shilawadu tu [emoji33][emoji33][emoji33]
Subiri kwanza niwanyanyasepo waliopitwa😂😂😂Kwendraaaa, ngoja course ikolee niselfike tena
Usinifanyie hivyo manyanyaso mwisho 2021Subiri kwanza niwanyanyasepo waliopitwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jana Roho mtakatifu alikuwa ananipitisha haya maeneo..sikuelewa sababu[emoji23][emoji23]
Sizigawi.Fanya namna nizione basi Mtakatifu
Wawekee sasa nyingineYa kale yamepita. Haya tuendelee kuselfika sasa
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Daaah fresh tu. Happy new year to you too Maki.
Hakuna kitu kinauma kama kukutana na comment kama hizi afu picha yenyewe ilikupita😂.
Hakuna kitu kinauma kama kukutana na comment kama hizi afu picha yenyewe ilikupita[emoji23].
Unawaumiza waliopitwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapambe wawili. Ngoja nikajilalie khaaa