Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
NimeonaWamerudisha huku mdau loh!!!!
Ila 2nd half tunawachapa mapema sana
NimeonaWamerudisha huku mdau loh!!!!
Mmhh haya bana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kawaida yangu mbonaUmeanza lini kutopokea? Kweli mwaka mpya na mambo mapya
Ngoja nikufatiepo pmKawaida yangu mbona
Dah chelsea keeper wao anawabeba.Wamerudisha huku mdau loh!!!!
Huo muda unawaza kunifwata ungemfuata mwenye picha ingependeza.Ngoja nikufatiepo pm
Matanuzi wapi SYB....kaupepo tu kanaruhusu kujisahaulisha stress zangu basi hamna zaidi.We tukizembea utakwama Zanzibar wewe. Si kwa matanuzi haya wallahi.
Mwaka mpya umeuanza vizuri sana dah!
Hilo jarida la Sani utaniachia tu hamna namna.Time to hit the road. Dear Bongo hear I come [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2066415
Ninayo boksi zima. Nilikutana na mtu mmoja alikuwa anayafanyia kazi alipomaliza akaniachia. Huwa nayapitia basi naishia kucheka tu. Yapo pia ya Bongo na Tabasamu. Nitakuletea hata matano [emoji16]H
Hilo jarida la Sani utaniachia tu hamna namna.
[emoji3063] 2nd attemptHuo muda unawaza kunifwata ungemfuata mwenye picha ingependeza.
Ulishangilia mapema [emoji16][emoji16][emoji16]Nilisema mimi hili chelsea tutajipigia tu hadi tuchoke
Na mimi chief unikumbuke,nimewamis betina na zenna.Time to hit the road. Dear Bongo hear I come [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2066415
Imepona sasa?Jf app leo tangu mchana kwangu inazingua balaaa!