Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Huwezi ukaelewa haya mambo😂😂😂Kisa cha kuumia? Wacha upambe, em sekfika basi
Wenye hobby ya picha waliopitwa wananipata mubashara kabisa😂😂😂
Huwezi ukaelewa haya mambo😂😂😂Kisa cha kuumia? Wacha upambe, em sekfika basi
Imagine watu wamepitwa mapema kabisa tar 1 mwezi wa kwanza😂.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuache kidogo..Ndiyo kwanza leo tarehe 2[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine watu wamepitwa mapema kabisa tar 1 mwezi wa kwanza[emoji23].
Halafu ndio waliomuomba sana picha
🥰🥰yooo[emoji173]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jana
Nimeenda kukata nywele lakini nimejuta kwanini nimezikata maana ZIMEHARIBIWA.
Nimeingia gharama nyingine ya kutengeneza kiwigi.hakuna namna
Nilisema mimi hili chelsea tutajipigia tu hadi tuchokeChelsea anakufa huku
View attachment 2066352
Pole kakweli😁hata Mimi ninajipa moyo tu sina namnaMi nilipishana nayo. Hata sasa najifurahisha tu bado sijaiona. Jinsi nilivyo na hasira nafikiria hata kupumzika JF kabisa. Nimechemsha balaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706]
Halafu walioibahatisha wanavyoringa sasa dah!
Ni camera tu hiyo jamani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hapa jicho bado halijalegezwa na vitu vyako amazing
Kuna karushwa kidogoSizigawi.
Zina haki miliki[emoji23]
Ndio karma zinaanzia huku mwisho kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole mama ila jiamini tu maisha yenyewe ndiyo haya haya! Kwani nawe nywele zako zinaanzia kati kati ya kichwa kama za kwangu?
HT 2-2Chelsea anakufa huku
View attachment 2066352
Sipokei rushwaKuna karushwa kidogo
Anakutia moyoMmhh haya bana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeanza lini kutopokea? Kweli mwaka mpya na mambo mapyaSipokei rushwa
Tujikubali tu rafiki binafsi sijui kama nitakuja kusuka tena maisha yote [emoji846][emoji846]Ndio karma zinaanzia huku mwisho kabisa
Wamerudisha huku mdau loh!!!!Nilisema mimi hili chelsea tutajipigia tu hadi tuchoke