cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Hapa saloon? [emoji23][emoji23]
Hapa saloon? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kutoa hangover ndo serengeti? MweeeehMuda wa kutoa hangover[emoji4]View attachment 2065998
Ahsante lect, naona pombe week hii zimenyweka sana, [emoji23][emoji23][emoji23]Yes, karibu!
Kipenzii wapi hii? [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Msalimie EzeAcheni bla bla # chat na picha 2022View attachment 2066003
Huko wapemba wamekuteka, au ndo maisha yamehamia huko hebu tuambizane mwaya. [emoji23][emoji23][emoji23]Zanzibar kipenzi changu
[emoji7][emoji7][emoji7]
Naona upo kunikunywa mkuuView attachment 2066097
[emoji39][emoji39][emoji39]
Nimepambana mpaka nimeipata dah! Ila jitihada nilizotumia mpaka kuipata picha hii ningekuwa nazitumia kwenye kusaka pesa hata Elon Musk ningemzidi.Mnaanza mwaka mpya na kuchelewa kuona picha full ya HS mliyomuomba kwa miaka yoote mitatu.
Umtamu sana wewe! [emoji39][emoji39][emoji39]Naona upo kunikunywa mkuu
Nimetekwa jamani😁😁Huko wapemba wamekuteka, au ndo maisha yamehamia huko hebu tuambizane mwaya. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeenda kukata nywele lakini nimejuta kwanini nimezikata maana ZIMEHARIBIWA.
Haya bhana nibebee zawadi huko kipendhii. [emoji3590][emoji3590]Nimetekwa jamani[emoji16][emoji16]
Muda si mrefu narudi lakini
Wacha bhanaMwende sawa na sisi watu wazima wenzenu, mkizingua tunageukia fresh 18s[emoji4][emoji4][emoji4]
Wigi la nini hapo umeweka!!???Jana
Nimeenda kukata nywele lakini nimejuta kwanini nimezikata maana ZIMEHARIBIWA.
Nimeingia gharama nyingine ya kutengeneza kiwigi.hakuna namna
Vunga basi.Wigi la nini hapo umeweka!!???
wakati mtoto unaonekana mzuri na nywele zako fupi una macho mazuri......