Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
HadithiANiendelee kuihadithia ile picha??
Nisije waumiza watu roho maana wameikosa😂
HadithiANiendelee kuihadithia ile picha??
Nisije waumiza watu roho maana wameikosa😂
Ngoja ninywe maji kwanza nije😂😂😂HadithiA
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamepitwa na picha full kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Niendelee kuihadithia ile picha??
Nisije waumiza watu roho maana wameikosa[emoji23]
Naiuza[emoji23][emoji23][emoji23]
Picha imetua penyewe.Yatakushinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waseme suu niendelee.Huna cha kuhadithia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wao wenyewe wanajua siyo mbwembwe.Ila kwa mbwembwe tu upo vizuri
Mwaka Ukawe mwema kwetu Sote Rafiki..Ahsante sana..Rafiki. Mwaka huu na ukawe mwema kwako na wapendwa wako mpaka ushangae ufurahi hadi uirudishe avatar na ID yangu niipendayo sana...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2065482
Wao wenyewe wanajua siyo mbwembwe.
Yaani ile picha aliyeikosa namhurumia.
Heaven Sent
Jana naona umeamua kutupiga na kitu kizito wana Selfika[emoji2]
Ahsante kwa Picha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana ulivyoweka tu nilibahatika kuiona...Ile narudi nicomment nakuta hamna kitu..Kwamba imekufikia?
Ndiyo nilikuwa natest mitambo ya kuselfika[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nilipishana nayo. Hata sasa najifurahisha tu bado sijaiona. Jinsi nilivyo na hasira nafikiria hata kupumzika JF kabisa. Nimechemsha balaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706]Shimba Ya Buyenze anahusika hapo asilimia mia
😂😂😂Asiyekujua atakuamini
Aliweka awamu mbiliJana ulivyoweka tu nilibahatika kuiona...Ile narudi nicomment nakuta hamna kitu..
Tukushukuru kwa kutubariki na Picha.. Ile Mitupio si haba HS[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana ulivyoweka tu nilibahatika kuiona...Ile narudi nicomment nakuta hamna kitu..
Tukushukuru kwa kutubariki na Picha.. Ile Mitupio si haba HS[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumishi kajipikilishe tuMi nilipishana nayo. Hata sasa najifurahisha tu bado sijaiona. Jinsi nilivyo na hasira nafikiria hata kupumzika JF kabisa. Nimechemsha balaa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706]
Halafu walioibahatisha wanavyoringa sasa dah!
Yaani pamoja na kuweka kote mara 2 ila kuna watu hawajaambulia awamu yoyote🤣Daah Maki wewe si wa kunifanyia hivi jamani[emoji54][emoji54]
Aliweka awamu mbili