ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Thanks the same to youVunga basi.
Happy new year
Thanks the same to youVunga basi.
Happy new year

Ndiyo.
Ngoja niwanyanyase watu na picha yako
Ambao hawajaona kazi wanayo.
Dogo kwa upambe sikuwezi, kwa ile picha ya viatu au?Mnaanza mwaka mpya na kuchelewa kuona picha full ya HS mliyomuomba kwa miaka yoote mitatu.





ThanksThanks the same to you
Huna lolote Mtumishi, wewe na Anne mna mbwembwe kwenye hakunaNimepambana mpaka nimeipata dah! Ila jitihada nilizotumia mpaka kuipata picha hii ningekuwa nazitumia kwenye kusaka pesa hata Elon Musk ningemzidi.
Mama Mchungaji yuko vizuri mno. Ngoja niishie hapa nisije nikaharibu tu. This year gonna be good![]()











Kwa hiyo uneenda kuficha uzuri wa asili kwa kuvaa mafuzi ya uhindini na Nepal.Jana
Nimeenda kukata nywele lakini nimejuta kwanini nimezikata maana ZIMEHARIBIWA.
Nimeingia gharama nyingine ya kutengeneza kiwigi.hakuna namna
We tukizembea utakwama Zanzibar wewe. Si kwa matanuzi haya wallahi.
Binti nakutafuta sana lakini hupatikani. Naona we na Lizzy mmeenda visiwani ili kuuanza mwaka mpya. Hongereni sana jamani na mwaka huu mliouanza vizuri hivi basi ukaendelee hivi hivi....Thanks
Nimeambiwa sina lo lote dah!Huna lolote Mtumishi, wewe na Anne mna mbwembwe kwenye hakuna![]()
Ninaiacha ardhi ya ZnzBinti nakutafuta sana lakini hupatikani. Naona we na Lizzy mmeenda visiwani ili kuuanza mwaka mpya. Hongereni sana jamani na mwaka huu mliouanza vizuri hivi basi ukaendelee hivi hivi....







Nimeambiwa sina lo lote dah!
Haya Mtumishi ila nimepambana mpaka picha nimeipata. Hapa nina furaha hatari kwa sababu kupata picha yako iliyopiganiwa kwa miaka na miaka haikuwa rahisi Mtumishi. Najiona kama nimeshinda lottery fulani hivi