Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Qhakuna namna B.kinyozi amenikata via ya mno..nimekuwa kama the policeKwa hiyo uneenda kuficha uzuri wa asili kwa kuvaa mafuzi ya uhindini na Nepal.
Qhakuna namna B.kinyozi amenikata via ya mno..nimekuwa kama the policeKwa hiyo uneenda kuficha uzuri wa asili kwa kuvaa mafuzi ya uhindini na Nepal.
📌📌Nimeambiwa sina lo lote dah!
Haya Mtumishi ila nimepambana mpaka picha nimeipata. Hapa nina furaha hatari kwa sababu kupata picha yako iliyopiganiwa kwa miaka na miaka haikuwa rahisi Mtumishi. Najiona kama nimeshinda lottery fulani hivi
Wea,wen,Jomoneee, haya utaiona
Wea,wen,
PoleniLeo Kutoka Znz to Dar aise sio kazi rahis..View attachment 2066264
Shem Darling...Leo Kutoka Znz to Dar aise sio kazi rahis..View attachment 2066264
Leo Kutoka Znz to Dar aise sio kazi rahis..View attachment 2066264
Shida nn mkuu, bahari imechafukwa?
😂😂😂Dogo kwa upambe sikuwezi, kwa ile picha ya viatu au?
Karma anakuhenyesha bure mdogo angu, hajaona lolote![]()
Wateule wachache tuliona😂😂
Niendelee kuihadithia ile picha??Damnnn at 25 nilikuwa bado najidekesha kwa baba HS wangu
Sasa kwenye ile picha umeona kitu gani zaidi ya viatu?![]()
Asante kwakwelPoleni
Yes Shem darlingShem Darling...
Watu ni wengi mnoo aiseShida nn mkuu, bahari imechafukwa?
Mbwembwe wanazo waliopitwa😂😂😂Huna lolote Mtumishi, wewe na Anne mna mbwembwe kwenye hakuna![]()
Shimba Ya Buyenze anahusika hapo asilimia miaWateule wachache tuliona😂😂
Hakuona huyoShimba Ya Buyenze anahusika hapo asilimia mia