Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Amen [emoji120][emoji120]Asante sana kamanda.....
Mungu Akulinde daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amen [emoji120][emoji120]Asante sana kamanda.....
Mungu Akulinde daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Haha kipi hiko [emoji3][emoji3]Una kinywaji chako kizito PM karibu
Ndiyo maana nikasalimu amri tu sitaomba tena [emoji1][emoji1]Mnaanza mwaka mpya na kuchelewa kuona picha full ya HS mliyomuomba kwa miaka yoote mitatu.
Mwee😂Ndiyo maana nikasalimu amri tu sitaomba tena [emoji1][emoji1]
Mzee wa chura, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankali nipo busy nalea[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2065403
Ameeeeeen!!Happy new year 2022View attachment 2065254View attachment 2065256
Asante Mungu (Ngome yangu)
Wastahili sifa
Umeniokoa(mikononi)
Mwa watesi wangu wote
Baba asante (ngome yangu)
Wastahili (sifa)
Umemuabisha (ibilisi)
Endelea (kunilinda)
Kama mawimbi ya kifo yalinizingira
Hizo kamba za kuzimu zilinizingira
Hiyo mitego ya kifo ilinikabili
Toka mwaka jana mimi wanilinda
(Eeh Mungu)
Naona kibali chako leo nipo
(JEHOVA)
Wenzangu (wamekufa)
Mimi nipo (Amina
Wengine (wanaumwa)
Wameshindwa kufika
Yatupasa tuliofika tukusifu (Mungu wetu)
Kwa kuimba (tuimbe)
Tuimbe ( na tuimbe sana)
Kwa kucheza (tucheze)
Tucheze (na tucheze sana)
Mungu pokea sifa zote
Happy new year too.Happy New Year to all Selfika fellaz.
I mic u moaaah. [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji8][emoji8]View attachment 2065863
Ahsante cc kipendhi, nimepona na naendelea vizuri.Happy new year too.
Tumefurahi kukuona,ni imani yetu umepona na Mungu wa Mbinguni aendelee kukulinda.
Happy New Year [emoji4][emoji4]Happy New Year to all Selfika fellaz.
I mic u moaaah. [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji8][emoji8]View attachment 2065863
Like Wise my dear xyzHappy new year my ex
Abee@Valentina [emoji41]
Hongera kwa kujitahidi jirani [emoji9]Nina pongezi za dhati kwa wanao/walio panda Mt. Kilimanjaro[emoji23]
Nimepanda ka mlima kadogo tu ndani ya hifadhi ya kisiwa cha saa 8 ilibaki kidogo nikate moto wakati wa kurudi [emoji23]
GoodafternoonMorning [emoji113]!![]()
Micc u moaah mommah, [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Happy New Year [emoji4][emoji4]