Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,026
Aimeeeeeeeennnnnnn!!! Hallelujah![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2065591
Aimeeeeeeeennnnnnn!!! Hallelujah![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2065591
Kwahiyo?Wale mnaotudengulia humu! Mnatakiwa mjue jana tu kuna wengi wameturn 18! Kazi kwenu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Dooh [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Hahahhahaa hapo nilikuwa nikukonyeze; mdogo angu mbona vile tena jamani". Nakutana na comment hii tena. Mbona gauni jekundu sina sasa?'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu my exDada mzuri kama huyo halafu kizuri zaidi ni Yanga.
Mungu atupe nini Yanga[emoji23]
Ndio nini kunidanganya???😌😟Karma kama Karma
Doh watu na bahati mbaya zetu [emoji3][emoji3]Ukute kuna watu pamoja na kutagiwa watapitwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana kamanda.....
Mwende sawa na sisi watu wazima wenzenu, mkizingua tunageukia fresh 18s[emoji4][emoji4][emoji4]Kwahiyo?
Hmm..we unatamani utulivu ama shamrashamra??
You could go to....
-Fumba Uptown Living and maybe have a picnic
-Shamba (Nungwi/Jambiani/Bwejuu etc.) for a quiet day at the beach[emoji950]
-Prison Island[emoji907]
-Verde for a fancy day out
-Spice tour....etc.
Naomba nije pmAsanteee Ngoja niamke nione uelekeo
Taratibu taratibu bhas[emoji1787]aaah! jicho hilo [emoji39][emoji39][emoji39]
Mnaanza mwaka mpya na kuchelewa kuona picha full ya HS mliyomuomba kwa miaka yoote mitatu.Doh watu na bahati mbaya zetu [emoji3][emoji3]
Haya bhana nimenyanyua mikono [emoji119][emoji119]