Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kusema kweli hiyo rangi ya mtume kwetu ni changamoto sana. Siku nikija huko uliko sijui itakuwaje.

Mwaka mpya mwema mkuu na wapendwa wako. You have a very nice family. Mungu Awabariki [emoji1545]
Amen Mkuu.
Mwaka 2022 ukawe wenye heri! Baraka, upendo, amani, furaha na mafanikio viongezeke kwako na wote uwapendao.

 
Ndiyo.


Ngoja niwanyanyase watu na picha yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ambao hawajaona kazi wanayo.
Na kwa kweli unatunyanyasa. Hata tunaoomba kuja PM kwako kufuatilia hiyo picha wala hujibu dah!

Yaani sijui nimeikosaje wakati nimetagiwa kabisa. Mwaka huu unaanza na majuto ya kiboya sana. Sijapenda!
 
Wale mnaotudengulia humu! Mnatakiwa mjue jana tu kuna wengi wameturn 18! Kazi kwenu!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Riverwood Bunju. Anyone here?

20220101_234128.jpg
 
Back
Top Bottom