Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Huyu ni muefeso chalii ya agano jipyaEeh angalau ubaki huku, uendelee kututia nguvu wanywa soda![]()
Huyu ni muefeso chalii ya agano jipyaEeh angalau ubaki huku, uendelee kututia nguvu wanywa soda![]()
Ona watoto wa uswahilini tunachanganya madesaUji asee
Andaeitini kabisa huyoBana weeeh nikajua mtu mzima mwenzangu, kumbe nakuzeesha kifikra
Pole sana mpendwa yote mapenzi ya Mungu.Kuna muda inabidi tu utabasamu hata kama umegubikwa na machozi ya kila aina... 2021 haukuwa mwaka mzuri kwangu... Naendelea kuwaombea wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki!!View attachment 2064046
Hii chai baada ya uji.. chai yenye lemon, tangawizi 🙄🙄Uwe unatoa caption wa kushua
Ona watoto wa uswahilini tunachanganya madesa
Mirinda nyeusi na fanta

Sawa sawa wakishua
Unavuka mwaka na nani asee 😬😬Sawa sawa wakishua
Na wapendwa wangu wengi.Unavuka mwaka na nani asee![]()
Hizo noma zimetrend hovyo wiki hii japo fanta ipo.Mirinda nyeusi na fanta
Sijaona hapo Mkuu
Hizo noma zimetrend hovyo wiki hii...

Katikati ni monduli palelala kati kati u balance mambo![]()
Ohoo yaani mwanaume akose mtoto ndani ya ndoa awe na furaha kabisa? Ukiona ana furaha ujue tayari kashafanya yake huko nje!
Kuna jirani yetu mmoja ni dereva wa hayo magari,ana mke wake na hawajabahatika kupata mtoto tangu tumewajua 2012.
Jamaa yuko happy tu kwake na haonyeshi kunyongo chochote ila hakaliki kwake.
Si ajabu ana michepuko huko nje na ana watoto wengi tu.
Amin mkuu,nilishapoa ubarikiwe pia UmmyPole sana mpendwa yote mapenzi ya Mungu.
Nimefurahi sana kukuona leo mkuu!imekaa poa sana.
HahahBana weeeh nikajua mtu mzima mwenzangu, kumbe nakuzeesha kifikra