Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Unaachaje kulala karatu aseee 😁😁😁😁Safari moja huanzisha nyingine
Ikawa leo akatokea[emoji2089]
Hapa nafikiri nilale hapa karatu ama
Nisogee mto wa mbu[emoji1787]
Unaachaje kulala karatu aseee 😁😁😁😁Safari moja huanzisha nyingine
Ikawa leo akatokea[emoji2089]
Hapa nafikiri nilale hapa karatu ama
Nisogee mto wa mbu[emoji1787]
Naona unawapiga kamba[emoji1787]
😂😂😂Aaah nakuaminia kamanda wangu; hapo ni ushashushia tu lunch
Saint Anne wewe ubaki tu kuwa manzi ya Agano Jipya Mwebrania, huu mziki huuwezi. [emoji23][emoji23][emoji23]
UsihofuSelfika sasa na wewe tukuone dereva wetu
Lipo humu jicho lake,alitupia picha.Kumbe ana jicho la usingizi eeh?
Inatakiwa unaandika usihofu halafu unatupiaUsihofu
Mto wa mbu napo ni shida nyingine[emoji1787]Unaachaje kulala karatu aseee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna muda inabidi tu utabasamu hata kama umegubikwa na machozi ya kila aina... 2021 haukuwa mwaka mzuri kwangu... Naendelea kuwaombea wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki!!View attachment 2064046
[emoji23][emoji23][emoji23]
Manzi wa mwakisolelo uwata,,
Pombe ni mbaya jamani,,,ile tu nilikuwa natamba nayo humu kuna mtu alikuja nikampa,nikataka nionje...ile kufungua tu aiseee harufu yake ni ya pombe[emoji19].
Tuishi humohumo tu kama machalii waefeso wa agano jipya[emoji23][emoji23][emoji23]
lala kati kati u balance mambo 😁😁Mto wa mbu napo ni shida nyingine[emoji1787]
Oooh lile la siku ile kwenye sherehe eeh?Lipo humu jicho lake,alitupia picha.
Ukimuona alivyo innocent yaani haendani kabisa na bia huyu mtoto[emoji19]
EwaaOooh lile la siku ile kwenye sherehe eeh?
[emoji1787][emoji1787]Ewaa
Ukute na lile jicho bado kalitupia vyombo[emoji2356]
Ukiachana na ubovu wa vichwa,,yale madude yananuka vibaya🤧,,harufu yake tu ikanifanya nirudishe chenji🙌.Na hivi vichwa vyetu vibovu; tusije tukatrend insta mweeh
Ndiyo uhakikishe unazitia nyavuni sasa[emoji23][emoji23]Asante sana Heaven Sent kwa pasi zako zilizonyooka
Shkamoo wewe madame. Ngoja kidogo nichukue simu yangu nipigie picha.Chalii shkamoo.
Tunaomba uselfike sasa kabla mwaka haujaisha.
Leo najaribu kidogoUkiachana na ubovu wa vichwa,,yale madude yananuka vibaya🤧,,harufu yake tu ikanifanya nirudishe chenji🙌.
Tuishi kiefeso tu na juice cola.
Hakika siyo kazi rahisi.