Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Baba wawili....., uwe na mwaka mpya mwema, Mwenyezi Mungu ndio mpangaji wa yote mshukuru kwa kila jamboKuna muda inabidi tu utabasamu hata kama umegubikwa na machozi ya kila aina... 2021 haukuwa mwaka mzuri kwangu... Naendelea kuwaombea wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki!!View attachment 2064046
Jamani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Aaah nakuaminia kamanda wangu; hapo ni ushashushia tu lunch
Saint Anne wewe ubaki tu kuwa manzi ya Agano Jipya Mwebrania, huu mziki huuwezi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wifi ake mie Huyo, so gorgeous! Weka colour basi gauni nimelipenda
Uko mzuka chalyangu😅 ni huo ublaki blaki metalic flani
Maneno yako sasa[emoji1787][emoji1787]mie hoiBia ya katiba hio [emoji28] mwisho wake lazma ugombane na mtu!
Game ya nini [emoji3][emoji3]Nahitaji game na wewe[emoji39]
Wii gauni lina rangi za kinyakyusaWifi ake mie Huyo, so gorgeous! Weka colour basi gauni nimelipenda
Asante sana NaddySL.. Mungu akubariki na uwe na mwaka mpya wenye kheri pia.Baba wawili....., uwe na mwaka mpya mwema, Mwenyezi Mungu ndio mpangaji wa yote mshukuru kwa kila jambo
Manzi ya agano jipya muefeso[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uko mzuka chalyangu[emoji28] ni huo ublaki blaki metalic flani
Amina. AsanteAsante sana NaddySL.. Mungu akubariki na uwe na mwaka mpya wenye kheri pia.
😂😂😂Orange kwani mbaya! UmenchekeshaWii gauni lina rangi za kinyakyusa
Rangi ya orange iliyokolea.
Utadhani nimetoka mwakaleli tukuyu leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Orange kwani mbaya! Umenchekesha
🤣🤣🤣 iwekee huvyohivyo picha ya kufungia mwaka hiyo , !colourful!Utadhani nimetoka mwakaleli tukuyu leo[emoji23]
Haya sasa hebu tuongelee picha ileAsante sana NaddySL.. Mungu akubariki na uwe na mwaka mpya wenye kheri pia.
Dah wii nakuwa kama nimetoka kubeba viazi mviringo,,si unajua orange na weusi inakuwa kachumbari[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iwekee huvyohivyo picha ya kufungia mwaka hiyo , !colourful!
Hahah umeanza sasaHaya sasa hebu tuongelee picha ile
Ngoja nakuja.....
Game ni game tu[emoji1787]Game ya nini [emoji3][emoji3]