Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Shukrani mpendwaUwiii🔥🔥🔥
Dada mzuri jamani
Shukrani mpendwaUwiii🔥🔥🔥
Dada mzuri jamani
Rangi ya mtume mhammad S.A.W.Shukrani mpendwa
Wa kishua unapenda kahawamambo mazuri mazuri hayaView attachment 2064091
Hatari sanaAISEE
Haha mada azipendazo mtakatifu, za kujivika ukubwaKijana mbichi kabisa[emoji846]
Nimeshajua sasa, inabidi niwe makini sanaYa mwisho kabla zijazifuta[emoji41]View attachment 2064092
Kabarikiwa sanaHatari sana
Rangi +suraKabarikiwa sana
I think I know you in person!😂😂😂
Manzi wa mwakisolelo uwata,,
Pombe ni mbaya jamani,,,ile tu nilikuwa natamba nayo humu kuna mtu alikuja nikampa,nikataka nionje...ile kufungua tu aiseee harufu yake ni ya pombe😒.
Tuishi humohumo tu kama machalii waefeso wa agano jipya😂😂😂
😍🙏🏽Mashallah
Mimi hadi sasa juhudi zimegonga mwamba..
Kama pombe zote zina harufu basi zoezi limeshindikana kabisa.
Aliyetupa hela yake kununua akanichamba[emoji23]
Tuishi kwenye kuita nzi...rungu za kufuka nzi zipo.
Uji huu ( uji wa asiri lishe ) 😋😋Wa kishua unapenda kahawa
Shukrani sister, ulidhani umri umeenda tayali? Haha bado kijana japo umri umeanza kunitupa [emoji3]
mambo mazuri mazuri hayaView attachment 2064091
Eeeh siyo kahawa kumbe!Uji huu ( uji wa asiri lishe ) 😋😋
Uji aseeEeeh siyo kahawa kumbe!