T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
Matiti?
Matiti?
Naona unawapiga kamba🤣Teh ile camera tu mkuu si unajua camera zetu hizi artificial. Kutana na mimi live ndiyo utajua hujui.
We jamaa maneno yako😂🙌😂🙌Kumbe unakunywa hii bia iliozinduliwa sanjari na katiba ya Jamburi😅😅😅 aisee we ni Mafia
Teh africa ukiona mtu kakomba sahani ujue hajashiba mkuu [emoji4][emoji4]Umeshiba kweli?
Onyango mzuri sana [emoji1][emoji1]Kwamba atakutana na sura ya Onyango?!
Inanyweka tu mbona [emoji38][emoji38]Kumbe unakunywa hii bia iliozinduliwa sanjari na katiba ya Jamburi[emoji28][emoji28][emoji28] aisee we ni Mafia
Hamna nawaeleza ukweli [emoji1][emoji1]Naona unawapiga kamba[emoji1787]
Hivi ni kweli hawa jamaa huwa hawana mwanamke mmoja??Wigelekelo and co. [emoji119][emoji119]View attachment 2064045
Ninge kama nige😍Kuna muda inabidi tu utabasamu hata kama umegubikwa na machozi ya kila aina... 2021 haukuwa mwaka mzuri kwangu... Naendelea kuwaombea wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki!!View attachment 2064046
Pole sana mpendwa nimefurahi kuiona picha yako leoKuna muda inabidi tu utabasamu hata kama umegubikwa na machozi ya kila aina... 2021 haukuwa mwaka mzuri kwangu... Naendelea kuwaombea wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki!!View attachment 2064046
Hawanaga [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Hivi ni kweli hawa jamaa huwa hawana mwanamke mmoja??
😂Hawanaga [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
AmeenNinge kama nige😍
Wapumzike kwa amani mwanao na baba yako🥲🙏
🙏🙏🙏🙏Ameen
Yule mwigizaji..Onyango mzuri sana [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]khai khai khaiWigelekelo and co. [emoji119][emoji119]View attachment 2064045
Amin AnnieNinge kama nige[emoji7]
Wapumzike kwa amani mwanao na baba yako🥲[emoji120]