Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20211231_165519.jpg
 
Kwa kweli ile harufu hapana. Tuendelee tu kuita nzi mezani (watatuchamba wanywa bia, si unaujua umoja wao)[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi hadi sasa juhudi zimegonga mwamba..
Kama pombe zote zina harufu basi zoezi limeshindikana kabisa.
Aliyetupa hela yake kununua akanichamba😂

Tuishi kwenye kuita nzi...rungu za kufuka nzi zipo.
 
Back
Top Bottom