Vipi hali
Ahsanteni
,baba alifariki jana jioni ya saa moja,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu,hivyo juzi,jana alikuwa vizuri tu hali ilibadilika jana jioni na ikatokea hivyo
Nashukuru hivyo wameshaenda kuzika mida hii
Mambo mengine Elly ndiye MTU wangu was karibu
Location MBINGA lusonga.