financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,503
Hahaa kuvaa hivi ni wa kijijini sasa si mjini, mimi ni wa kijijini ndiyo maana navaa nyela mumo😂😂Kalumbu umekuwa wa mjini mwee
Hadi unavaa nyelamwumo😁
Hahaa kuvaa hivi ni wa kijijini sasa si mjini, mimi ni wa kijijini ndiyo maana navaa nyela mumo😂😂Kalumbu umekuwa wa mjini mwee
Hadi unavaa nyelamwumo😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jina zuri, chupa bayaa, hata haishawishi. LolGuiness leo sina. Savannah ni vitu vya waremboView attachment 2056211
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeeh nawee ulikuwepo eneo la tukio? HahahahHuku naangalia live miss East Africa!
Mishikaki na kinywaji [emoji39][emoji39][emoji39][emoji1786][emoji1786] [emoji39][emoji39]View attachment 2056213View attachment 2056214
Thanks shos na kwako pia, [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo siwezagi kunywa bia za aina moja [emoji16][emoji16]
Nilikuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeeh nawee ulikuwepo eneo la tukio? Hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila aina yaan, wee unakunywa tyuuh.Another one..[emoji4]View attachment 2056613
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuja boss.Njoo Kijijini huku madongo kuinama, tusaidiane kuchinja Mbuzi [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti eeeh? Wengine walianza tangu wakp watoto had leo hazijafka hivyo, hebu nieleze siri ya mafanikio. [emoji23][emoji23][emoji23]Ungejua nilianza kuzitunza kidogo kidogo tangu mwaka Juzi zinisaidie kwenye palizi huku Kijijini [emoji12][emoji12][emoji85]
Karibu sana Mkuu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590] kipendhiiii mic u had naumwa, nan alikuficha? Tanteeeeh nawee pia, but mie naumwa hapa.Shimba Ya Buyenze (daddy i love you)
Mshana Jr (anko i miss yoooo)
Saint Anne (cha ubishi)
mtu chake (kipenzi)
RRONDO (ohooo)
Karma (ile filingi tunayo kwa rrondo)
cocastic (kipendhi i missd yo)
Jack Palladino (shem darling...)
Mjep (brother mambo ni ajeee)
Heaven Sent (bwana asifiw m.mchungj
The Wolf (nakukubaligi sana)
The Monk (nakukubali mno)
na wengine wooooteee ambao sijawataja kwa haraka haraka.
Merry Christmass & Happy New Year
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda wa kuzumua[emoji4]View attachment 2056733
Babuuh naomba supu. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipiki nasubiri mualiko na hadi muda huu bila bila
[emoji547][emoji547]Msifu Bwana
Msifu Bwanaa
Eee watu wote
Msifu watu wote
Msifu watu wote
Msifu msifuni ee watu wotee
Msifu msifunii ee watu wote .
MWANAKONDOO WA MUNGU AMESHINDA
TUMFUATE[emoji91]View attachment 2056769
Wacha wee, pandisha juu kidg, maana nna overall km hyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona unaguna sasa, au nichange outfit? Nivae kama bibi Christmas? [emoji23]
Nimependa tiles hapo chini, rangi nzuri na inavutia.Jager bomb[emoji41]View attachment 2056864
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa kuvaa hivi ni wa kijijini sasa si mjini, mimi ni wa kijijini ndiyo maana navaa nyela mumo[emoji23][emoji23]