missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,338
Thanks babes..Merry Christmas to you and yours [emoji3590][emoji3590]
Thanks babes..Merry Christmas to you and yours [emoji3590][emoji3590]
Mbona ameinama hivi. Anafanya nini huyu??Hahahaha... Karibu kwetu mkuu msimu huu wa horideiView attachment 2056538
Mpaka nimeshtuka kidogo dah!Hahahaha... Karibu kwetu mkuu msimu huu wa horideiView attachment 2056538
Pombe ukikaa muda mrefu bila kuinywa uhusiano wenu unaingia kadosari[emoji23][emoji23][emoji23]Nikiwa mjamzito na nikiwa nanyonyesha huwa sigusi kabisa pombe, so toka nimeachisha nimetokea tu kutotaka kunywa tena.....kuna siku niliagiza Amarula nilipata tabu sana hata kunywa nusu glass....
Mimi ndo napona, nimemeza azithromycin tablets siku mbili na paracetamol Mara moja sijiskii kuendelea. Hali ya mdomo sio nzuri sijui ninywe Nini Leo au nijaribu nyagiMi kwenye dawa ndo mziki ulipo, nasubiri kupona kimuujiza aise[emoji28]
Mwambie hivi "Coca-cola zinasababisha kisukari"Kafrijj ka mhuni hakana mbwembwe [emoji1787][emoji1787]View attachment 2055813
Pombe ukikaa muda mrefu bila kuinywa uhusiano wenu unaingia kadosari[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuelewa vizuri. Pombe sio nzuri ukifanikiwa kuacha ni jambo jema!..Ujauzito wa ngapi ulisababisha hiyo hali ya kuacha kabisa?Huyo mtoto ana baraka zake[emoji4]Nikiwa mjamzito na nikiwa nanyonyesha huwa sigusi kabisa pombe, so toka nimeachisha nimetokea tu kutotaka kunywa tena.....kuna siku niliagiza Amarula nilipata tabu sana hata kunywa nusu glass....
Nimekuelewa vizuri. Pombe sio nzuri ukifanikiwa kuacha ni jambo jema!..Ujauzito wa ngapi ulisababisha hiyo hali ya kuacha kabisa?Huyo mtoto ana baraka zake[emoji4]
Hongera sana Mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]Ujauzito wa tatu Mkuu.
Njoo Kijijini huku madongo kuinama, tusaidiane kuchinja Mbuzi 😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkesha wapi?
Hongera sana Mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]
Ungejua nilianza kuzitunza kidogo kidogo tangu mwaka Juzi zinisaidie kwenye palizi huku Kijijini 😜😜🙈Watu mna pesa hadi wallet zinaona wivu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo siwezagi kunywa bia za aina moja [emoji16][emoji16]