donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Umenoga mkuuWapi pichaa!!!View attachment 2055809
Umenoga mkuuWapi pichaa!!!View attachment 2055809
Asante Mkuu!Umenoga mkuu
Khaa jamani Mtumishi. Wewe relax tu; mimi mwenyewe sura na shape ya ki-wife material kabisa, sina maajabu[emoji28][emoji28][emoji28]Eti Ewaaaa! Kazi kusifia wenzio tu we za kwako hutaki kuweka hata moja watu wakakata kiu. Watu wamefanya kila njia mpaka wengine wameapa kuondoka JF jumla ukiselfika lakini wapi. Unavyotufanyia siyo vizuri Mama Mchungaji[emoji51]
Hii kitu weka mbali na watoto. Hovyo sana!The beast...Jagermeister[emoji41]View attachment 2055842
Selfika Mtumishi!Khaa jamani Mtumishi. Wewe relax tu; mimi mwenyewe sura na shape ya ki-wife material kabisa, sina maajabu[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] balaaa mkuuHii kitu weka mbali na watoto. Hovyo sana!
Mwaliko wa soda hauhitaji mkuu?Napokea mialiko ya beer wazee mwenye anataka bodyguard anasema tu
Angalau inavutia[emoji39].Kafrijj ka mhuni hakana mbwembwe [emoji1787][emoji1787]View attachment 2055813
Karibu sanaLazima nije mkuu. Nataka nije Nile Ndizi aina ya mwamnyila
[emoji23]Hii yenyewe hii[emoji39]
Hizo pembe kabisa za shetani hizo[emoji134]The beast...Jagermeister[emoji41]View attachment 2055842
Wow! that was so so... 😍😍Asante baba mtumishi wangu
Wacha watu kutoka pande zote waje,kuona jinsi nilivyobarikiwa..Naam Mungu wa Mbinguni alivyonibariki.
Wote waje kushuhudia huu upendo wetu
mzito.
vile mkono wangu wa kushoto nauweka chini ya kichwa chako,,Nao wa kuume ukiwa umekukumbatia.
Mimi ni wako mpenzi wangu,
Nawe ni wangu.
.............
Should I say more my gentleman ?
Happy holidays mtoto mzuriMpenzi wangu, wewe u mzuri kama Tirza,
Wapendeza kama Yerusalemu.
Unatisha kama jeshi lenye bendera.
Hebu tazama kando tafadhali,
Ukinitazama nahangaika.
Unaongea taratibu kuonesha kwamba una hekima
Macho yanatua kwenye mboni zako sasa nashindwa kusema 🎅
😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Nzuri kwa kuzivutaWapi pichaa!!!View attachment 2055809
Devil..[emoji41]Hizo pembe kabisa za shetani hizo[emoji134]