Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahhaaa wakati nimelewa siku nzima toka jana jioni mpaka Leo pombe imegoma kutoka kichwani [emoji28][emoji28]

Nikimaliza chupa si mtanisahau?!

[emoji23][emoji23][emoji23] na bado umepiga shots tena? basi kesho usinywe!!!

ukimaliza chupa utazima
 
Hahahahah hilo li smirnoff sio chungu, kuna Desperado pia sio chungu pamoja na savannah! Kama ushakunywa savanna desperado ina same taste! Kuna ile flynig fish ya TBL pia sio chungu ile nayo ina ladha ya limao na sukari[emoji28]

basi ningeziweza!

hizo sijui Hennesy....JD...serengeti hapana zingenishinda
 
Hahahaha mie mwenyewe nilipiga mbili tu juzi kati nikaona weee hii ni nini naweka kwa mouth just to find out ni 7% niliwacha ujinga nikawasha chombo na kusepa
Ukiwa unakunywa tu unaskilizia utamu bila kuangalia idadi, utaskia mziki wake ukitaka kunyanyuka magoti yote yanagoma😂😂
 
Merry xmass...
20211224_222637.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana aiseee

Pombe siyo chai
Nilianza na Drosty Hof nikaenda small planet pale nikahamia humo napoozea na robertson na zile amapiano na wana mara mzigo umekata 😂! Nikasema nijaladie na serengeti lite.

Nimetoka pale niende TIPS weee niliishia parking nashukuru tu sikuwa naendesha siku ile. Nikamwaga chenchi hata sikujua ilikuwaje. Nimekuja amka kesho saa 4 sijielewi nilifikaje geto ila chenchi zilinisaidia.
 
Back
Top Bottom