Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni yeye Emmanuel ndiye mkombozi wa dunia
20211223_131445.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh, mie nikiwekwa mtu kati nakufa, maan siwezagi kuvumilia.
Subiri uwekwe ndio utaona uvumilivu unakuwaje.
Tena wakudake semester ya mwanzo[emoji1787],afu mwalimu huyohuyo anakufundisha tena na semester inayofuata..
Utatamani dunia irudi nyuma semester irudiwe[emoji16]
 
Ni nani anayeweza kusema amemaliza mwaka salama kwa nguvu zake yeye mwenyewe
Nakuuliza we baba nakuuliza we mama nawauliza vijana tujiulizeni sisi sote[emoji120]

Ni wengi walitamani kuona siku hii hawakuiona wamekufa kwa mapenzi ya Mungu🥲[emoji120]

Old is Gold

20211223_133246.jpg
 
Huwa mnapata wapi maneno serious ya kuongea?

Dah labda mi nimezoea mzaha,yaani ukiniweka kwenye issue ya kuongea sana nitabakia kimya tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini sasa dea? Afu mbna simple tyuuh, unajua ktk jambo lolote km unalipenda na ni fantasy yako huwezi ona ugumu wowote.

Ktk u MC kinachotakiwa kuwa jasiri na kutokua na aibu, hayo maneno mengine huwa yanakuja automatically ndani ya tukio [emoji23][emoji23][emoji23].

Mie kiukweli ndoto zangu tangu nipo mdogo ilikua ni kuwa mtangazaji,MC, Mandishi wa habari, kazi km hizo yaan ila nilikatishwa na wazazi.

Sahivi nipo ktk uwanda mwingne ambao hata hauna uhusiano na hizo kazi kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kunywa maziwa nilegeze sauti itoshe kusema kuwa mc ni shuuli nzito sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi wee mbna simple sana, navopenda mie wee acha tyuuh, nimekuwa MC tang std la 5, had 4m 6, graduation zote za shule nlikua mie MC.
 
Back
Top Bottom