cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,985
Yaan alihisi hizo I'd 10 wapo km Uwoya lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kuna vitu vinachekesha sana best[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan alihisi hizo I'd 10 wapo km Uwoya lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kuna vitu vinachekesha sana best[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa hiyo ni camera tu boss wangu mie mgumu situmiagi hizo vitu kabisa [emoji1][emoji1]
Kumbe Amarulah ni pombe kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Japo sijaiona grand malt,au ndio ina jina jingine ushamba wangu haujaniacha salama[emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu yuko Mbinga huko unamuuliza updates za liver kweli!
[emoji1787]Kumbe Amarulah ni pombe kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nliwahi bishana na mtu had akataka kulia, khaaaah.
Mie nakazan ni wimbo wa msanii Roberto. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naweza kua chizi mie, wallahSubiri uwekwe ndio utaona uvumilivu unakuwaje.
Tena wakudake semester ya mwanzo[emoji1787],afu mwalimu huyohuyo anakufundisha tena na semester inayofuata..
Utatamani dunia irudi nyuma semester irudiwe[emoji16]
Marry Christmas [emoji7][emoji7]Mary's Boy child Jesus Christ was born on christmas day
Hark now hear the angels sing
A king was born today
And man will live for'ever more
Bse of christmas dayView attachment 2054469
Ameeeeeeen!! [emoji120][emoji120][emoji120]Ni nani anayeweza kusema amemaliza mwaka salama kwa nguvu zake yeye mwenyewe
Nakuuliza we baba nakuuliza we mama nawauliza vijana tujiulizeni sisi sote[emoji120]
Ni wengi walitamani kuona siku hii hawakuiona wamekufa kwa mapenzi ya Mungu🥲[emoji120]
Old is Gold
View attachment 2054471
Wimbo mzuri sana huu [emoji7][emoji7][emoji7]Mtoni Avangelical Choir[emoji91][emoji91][emoji173][emoji173]
Haijatokea tena ngoma kama hii Tz[emoji119]
Yesu nipeleke kule kwa Baba
Nikaishi naye kule mbinguni
Kwenye mji wa lulu
Milango ya dhahabu
Ooohoo oooh lulu
Ooooh lulu niko mbinguni
Uuuuhhhh mmmmhmmmhhh
Kweli ndani ya Yesu
Kuna raha ya ajabu
Isiyo na mwisho
Kweli jamani mmmmhView attachment 2054486View attachment 2054487View attachment 2054489
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan cc we acha tyuuh, nlibisha had akataka kulia, afu hizi pombe inawezekan zipo sehem expensive na classic, pia hazipatilan holela,[emoji1787]
Ungeitest tu[emoji28]Kumbe Amarulah ni pombe kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nliwahi bishana na mtu had akataka kulia, khaaaah.
Mie nakazan ni wimbo wa msanii Roberto. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari mkuu[emoji28]Bei zimesimama haswaa
Haujatokea tena kama huu kwenye ulimwengu wa gospel Tanzania.Wimbo mzuri sana huu [emoji7][emoji7][emoji7]
Huppati uchizi ila utakonda tu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naweza kua chizi mie, wallah
Huu utaratibu wa wachagga kuchinja nyama kwa kweli unanivutia sana aisee.Mapeeema kabisaView attachment 2054488View attachment 2054490