Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 2054903
Njoo tunywee hata haileweshi
Weweee!

ABV 37.5% mziki mzito huo. Mi mwenyewe niko chimbo hapa hata sijui nitaondoka na nini ila natafuta mchanganyiko maalum...ule wa kulewesha "kistaarabu"

Gheto nina Grand Marnier ya kutosha hapa natafuta visindikizio tu...Holidays!

20211223_111945.jpg
 
Mimi ni yule mmoja, kati ya wale kumi,
Uliowaponya ukoma, kwako nimerudi
Wale tisa sijui,
Ila mimi nimekuja kusema Asante

Najiuliza, Nikulipe nini, kwa yote ulionitendea mimi,
Baba ni mengi, siwezi lipa hata kwa senti
Natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa,
Natafuta maneno mazuri ya kukushukuru ninakosa.
Ee Baba,
Nikulipe nini, nikulipe nini?

Uliyonitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE (x5)

Nachojuaga, huwa unaongezaga
Kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru
Nachojuaga, huwa unaongeza, zaidi.
Sikushukuru tu kwa haya uliyotenda,
Ila, Hata kwa yale ambayo hujayatenda
Huku nikiamini, Shukrani ni sauti ya imani

Fedha (Haitoshi kukushukuru)
Dhahabu (Haitoshi kukushukuru)
Ee Baba
Nikulipe nini, nikulipe nini

Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE (x2).

Shukrani imebebwa kwenye neno moja,
ASANTE (×4)
Screenshot_2021-12-23-20-32-06.jpg
 
Mimi ni yule mmoja, kati ya wale kumi,
Uliowaponya ukoma, kwako nimerudi
Wale tisa sijui,
Ila mimi nimekuja kusema Asante

Najiuliza, Nikulipe nini, kwa yote ulionitendea mimi,
Baba ni mengi, siwezi lipa hata kwa senti
Natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa,
Natafuta maneno mazuri ya kukushukuru ninakosa.
Ee Baba,
Nikulipe nini, nikulipe nini?

Uliyonitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE (x5)

Nachojuaga, huwa unaongezaga
Kama ukimpa mtu kitu alafu akakushukuru
Nachojuaga, huwa unaongeza, zaidi.
Sikushukuru tu kwa haya uliyotenda,
Ila, Hata kwa yale ambayo hujayatenda
Huku nikiamini, Shukrani ni sauti ya imani

Fedha (Haitoshi kukushukuru)
Dhahabu (Haitoshi kukushukuru)
Ee Baba
Nikulipe nini, nikulipe nini

Ulionitendea ni mengi,
Siwezi kuhesabu
Ila nina neno moja,
ASANTE (x2).

Shukrani imebebwa kwenye neno moja,
ASANTE (×4)View attachment 2054922
Good lyrics. Nizame mjini you tube niutafute
 
Back
Top Bottom