Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
My bosslady unajuaaa nilivokumis haswaaaa
My bosslady unajuaaa nilivokumis haswaaaa
Hufaiii kabisaa
Unaninanga
kuna send off na ndoa ya rafik angu nlikua MC yaan hata sikutegemea nlifanya vyema mno ktk hizo sherehe zote 2 toka hapo nkashangaa eti napata tender ya kuwa MC ktk ndoa fulan afu party itafanyika Mliman city, wee mbna nliruka foot mia kidg habari za kuonekana nan anataka,
Nliwaza mie nionekane kwa tv, unakuta ndugu wanaona wee mbna kitaumana hapa, wazazi wanione mie mbna ntaulizwa Dar nlikuja kuwa MC au?
Sema napenda sana kuwa MC mie. But muda bado kdg wa kufanya maamuzi rasmi.




nipo kunywa maziwa nilegeze sauti itoshe kusema kuwa mc ni shuuli nzito sana
Aka kipendaa rohoooThats ma boss!Santo sana!!
Hahahaha nazungumzia alivochelewesha majibuWee anadedije na nesi wa zamu alivo makini weeeeeehhh!! He will live longer in Jesus name!
Miss you badly bosiii!My bosslady unajuaaa nilivokumis haswaaaa

😘😘😘😘Miss you badly bosiii!
Si ya supuMchat huku mnatupia picha sasa![]()
Una sura nzuri mrembo. Nipunguzie kidogoUsiku MwemeniView attachment 2053963
Deep one!!💋💋💋💋💋💋💋🙃🙃😘😘😘😘
Kam kauwaaa!!! Nani mwingine!!!!?? Hakunaaaaa🤸🤸😜Aka kipendaa rohooo
Uzembe kazini apewe barua ya onyo kali bosiii!! Nesi makini apokee zamu!!!Hahahaha nazungumzia alivochelewesha majibu
Aka kiv.........Kam kauwaaa!!! Nani mwingine!!!!?? Hakunaaaaa🤸🤸😜
KabisaaaUzembe kazini apewe barua ya onyo kali bosiii!! Nesi makini apokee zamu!!!
Ndaga fijo nkamu. Na wewe uendelee kuwa kapole hivyohivyo, usituige dada zako hapa![]()
Wewe ni mmoja ya watu ninaowapenda humu JFUsiku MwemeniView attachment 2053963
🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫Aka kiv.........
Hee chini ana mayebo yebo na kibukta hahaa akii nilijua labda ni wewe unafanana naye![]()





