Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20211223-020528.jpg
 
kuna send off na ndoa ya rafik angu nlikua MC yaan hata sikutegemea nlifanya vyema mno ktk hizo sherehe zote 2 toka hapo nkashangaa eti napata tender ya kuwa MC ktk ndoa fulan afu party itafanyika Mliman city, wee mbna nliruka foot mia kidg habari za kuonekana nan anataka,

Nliwaza mie nionekane kwa tv, unakuta ndugu wanaona wee mbna kitaumana hapa, wazazi wanione mie mbna ntaulizwa Dar nlikuja kuwa MC au?

Sema napenda sana kuwa MC mie. But muda bado kdg wa kufanya maamuzi rasmi.

Huwa mnapata wapi maneno serious ya kuongea?

Dah labda mi nimezoea mzaha,yaani ukiniweka kwenye issue ya kuongea sana nitabakia kimya tu.
 
Back
Top Bottom