Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2]
C360_20211222-113202-92.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe chibonge ili ugundue nn? Huyo bibi mda wote wa kujipimia anao? Si atakinai? Au tumbo linafunika mapaja bibi inabidi mnara afuate kwa nyuma sasa si utumwa huu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu fanya mazoezi huko. Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umenishinda tabia 😅😅🙌

Sipati picha ingekuwa unaelezea kwa vitendo sijui ingekuwaje 🙈
 
Wewe,nasikia peramiho kuna chimbo kule[emoji3]
Mwenzio basi hayo machimbo nayajua basi[emoji3]!!!!!

Njoo bana, tuonane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko peruu kwa chimbo matata bado sijalipata fresh hilo. Yaan wee kuwa mpolee mambo yatakua mswano.

Au nenda pale the hunt club kaogelee, ila tatzo pale wanajaa wazungu, waarabu koko na wahindi, mie sipendi panakua tafran tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila ndo sehemu ya kimataifa ya starehe kwa Songea nzima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom