Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Tumrudishe sasa Shwazniga kwenye avatarGood morning!!View attachment 2053064
Tumrudishe sasa Shwazniga kwenye avatarGood morning!!View attachment 2053064
Nipe feedbackndiyooooh


TV zenye mimba zilikuwa na speaker nzuri sana,nilikuwa na moja inaitwa shivaki bass lake flat itasubiri sana.




































𝙉𝙖𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙟𝙞𝙗𝙪 𝙥𝙡𝙚𝙖𝙨𝙚....




You're back

Lodge gani hii mkuu
Mbona hata ukiwa mzima una uwezo wa kuelea etiA ndio amefariki.
Mwili wa binaadamu anapofariki huwa unaelea kwenye maji.


Yes darling. Na cake yako imeisha 😔😔You're back![]()
Ni sawa, sikatai juu ya hilo, lakini ili aelee miguu na mikono pia itakuwa ipo juu usawa wa maji. Maiti angalia miguu yake itakuwa imezama. Na mtu akizama kwenye maji akifariki ndipo hueleaMbona hata ukiwa mzima una uwezo wa kuelea eti![]()
safi sana. Kn wengine wanategea ujueChat na picha # holidays View attachment 2053226
tena unaelea vzr tuMbona hata ukiwa mzima una uwezo wa kuelea eti![]()
Utanipea directions nione napatajeYes darling. Na cake yako imeisha
Labda nikuonjeshe nnachopika leo![]()

Pale nilipokwambia siku ile??Utanipea directions nione napataje![]()
.....Wed 22 decView attachment 2053292