Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy birthday to our beautiful Sister Heaven Sent [emoji173][emoji173]
Hivi ulishawahi kumpenda mtu halafu ukakosa namna nzuri ya kuandika na kumwambia???

Nashindwa hata niandike nini,,,ila Mungu na akutunze[emoji120][emoji120][emoji120]
Happy belated birthday to my home gal, mdada mstaarabu yaani the real Heaven Sent , uishi miaka mingi🥰
 
Mmesifiwa halafu mnaharibu Tena. Wife material anatakiwa awe anakunywa soft soft tu labda zile za kuongeza lubricant

C1238132-0FE3-426E-9DA5-0EF182116637.jpg

Kama hizi?
 
Back
Top Bottom