Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Inatoa stimu kabisa yaniHaya mambo yamenikata maini.
Naweza jikuta nakufa kwa presha mzima mzima![]()
Bora tuwe masista wengine
Inatoa stimu kabisa yaniHaya mambo yamenikata maini.
Naweza jikuta nakufa kwa presha mzima mzima![]()
Huko field kunatishaInatoa stimu kabisa yani
Bora tuwe masista wengine
Godfather of Harlem
Hapo amejiboost na pombe
Basi mechi itakuwa kali kama wanacheza liver na man city vile![]()






cc mie sitaki ujue, yaan nacheka km chizi hapa, muache lect apunguze ukame, maana asipofanya hivyo atakua na hasira mda wote, na kupelekea kuwakata marks wanafunzi wake.Halafu sijaivunja hadi leo.Naona inakutoa
HakikaHuko field kunatisha
Nikajiunge tu na chuo cha utawa.
Akija kesho ni kuwagawia tu marks hapo coetcc mie sitaki ujue, yaan nacheka km chizi hapa, muache lect apunguze ukame, maana asipofanya hivyo atakua na hasira mda wote, na kupelekea kuwakata marks wanafunzi wake.

Mimi Teku walinipigia simu,fomu nishajaza.Hakika
Mi kesho naenda kujaza form kujiunga usista
Soon naungana nawe huko. Wacha tukamtumikie Bwana hukoMimi Teku walinipigia simu,fomu nishajaza.
Nadhani ni muda wa kuenda sasa kusoma.
Na kama yupo mwingine anatamani ajiunge.Soon naungana nawe huko. Wacha tukamtumikie Bwana huko
Hawaoni mikoa kama Morogoro jamani? Wangetuachia Mbeya yetu na Songwe ingeendelea kuwa wilaya tu, maana wamefanya hadi airport mpya kijiografia iwepo Songwe na Mbeya hatuna airport, wakati ile airport ilitakiwa iwepo Mbeya!Kimalila ni kinyiha,tofauti yake ni maeneo tu..
Ni kama kindali cha undali na kile cha ulambya.
Mkoa ulikuwa mkubwa mno ndiyo maana japo kule tukuyu tupo pamoja.
Hawaoni mikoa kama Morogoro jamani? Wangetuachia Mbeya yetu na Songwe ingeendelea kuwa wilaya tu, maana wamefanya hadi airport mpya kijiografia iwepo Songwe na Mbeya hatuna airport, wakati ile airport ilitakiwa iwepo Mbeya!







Man u huyuMkuu unashabikia timu gani ulaya![]()
Yes mmiliki halali kabisaA wapi![]()
Mmeamua kubadilisha mazingira?Yes mmiliki halali kabisa
Tupo 5 star hotel moja hapa mjiniMmeamua kubadilisha mazingira?
Zile marumaru za nyumbani kwako nimezikariri.
Dooh basi uliokutana nao siyo wanyakyusa maana Mbeya mjini pana mchanganyiko wa makabila mengi kama Dar tu! Kwahiyo wewe huendi kuhesabiwa?Sio wakarimu so I'll be splitting tomorrow. Naenda zangu Njombe nikaone nao wanasemaje for a day or two then narudi zangu DarSlum!
Kwangu ada siyo shida tatizo muda sasaNifanyie mpango Mkuu, najua kwako Ada ya Udahili haitapanda ghafla kama kwa Mtakatifu.
Nipo tayari kulipia ya Mwaka Mzima![]()

