Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dooh basi uliokutana nao siyo wanyakyusa maana Mbeya mjini pana mchanganyiko wa makabila mengi kama Dar tu! Kwahiyo wewe huendi kuhesabiwa?
Ushawishi wa nje umekuwa mkubwa kuliko wa ndani 🙂😏 so....sidhani kama ntaenda. Nadhani ntaomba kutumiwa picha tu 😁
 
Teh na eti ndiyo wameweka Mbozi kama makao makuu ya mkoa wa Songwe! Hiyo stand yake tu ya mkoa inasikitisha na inazidiwa hata na stand ndogo za daladala za Dar na imepewa hadhi ya mkoa na kuna wakuu wa mkoa na wilaya kabisa!
Pale mbozi pazuri ni kule ofisi za mkoa zilipo,,,
Tena nazo zimening'inizwa kule juu kabisa,kubayaa


Stand ya daladala mbezi ni kali mno kuliko ile stand ya vwawa ya mkoa .
 
Tatizo hata sio ubichi, Bei ya kiongilio ni 15K/7$ mimi nilijichanganya nikaingia kwenye ratiba inayoonyesha muvi Hii kwa format ya Imax 3D/Hologram. Sasa ili uangalie muvi katika mfumo huu lazima uwe na miwani maalumi Unless utaona mawenge. Miwani wanauza 10K..So jumla 25K imelala, ila inauma maana after 2Months muvi unaweza kuipakua kwa bando la buku. Btw Pesa kitu gani bwana..
Ndiyo mie siku zote najuaga kwenye cinema zetu nyingi 3D glasses ni lazima. So jitahidi ukinunua uitunze hiyo ili next time usinunue tena.

Lakini kama ndiyo unaenda kwa mara ya kwanza inatakiwa ununue na ukikataa hawakulazimishi ila utakachoenda kukishuhudia huko ndani utafurahi na roho yako. Pole it's a nice experience though.
 
Ndiyo mie siku zote najuaga kwa cinema zetu hizi 3D glasses ni lazima. So jitahidi ukinunua uitunze hiyo ili next time usinunue tena.

Lakini kama ndiyo unaenda kwa mara ya kwanza inatakiwa ununue na ukikataa hawakulazimishi ila utakachoenda kukishuhudia huko ndani utafurahi na roho yako. Pole it's a nice experience though.
Muvi nilizowahi kuangalia cinema zote niliangalia kwenye mfumo wa 2D hapa kulikua na upande wanaonyesha kwa 2D pia sema wanaanza usiku. So mimi nikazama kwenye 3D kwakua inaanza saa 10. Haka kamiwani nitakatunza mwezi may panapo majaaliwa nitakatumia kwenye Doctor Strange
 
Back
Top Bottom