Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Lizzy tunakukabidhi kwa homeboy wetu huyu[emoji23]Nipo mbona available na chuma iko full tank 24hrs Kama ambulance
Lizzy tunakukabidhi kwa homeboy wetu huyu[emoji23]Nipo mbona available na chuma iko full tank 24hrs Kama ambulance
AbeeeeeeHuyu ndio shemeji yangu Heaven Sent au
Ah[emoji2356]Nshatuma mbona
Basi tenaAh[emoji2356]
Bando lilinipoteza hewani
Dah[emoji23]Basi tena
Ngoja niachane napo tu..kulala na msosi mzuri ndo kila kitu [emoji23]Vyumba ni vya kawaida sana kama ni mpenzi wa kulala mahali pazuri, hapakufai ila mazingira yanavutia.
Changamoto nyingine ni chakula si kizuri na huduma kwa mteja pia haiko vizuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niachane napo tu..kulala na msosi mzuri ndo kila kitu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa yaani sijui tu kwanini walitutenganisha Mbeya na Songwe. Na utashangaa wasafwa wanaelewana na wamalila.Yaani siyo kuingiliana tu!,inafanana maneno yote kasoro pronounciation tu.
Mikoa yetu ilivyo na lugha nzuri,,yaani mndali na mnyakyusa wanaongea na wanaelewana pasi na matatizo.
Na kule ileje mndali na mnyiha wanaelewana vizuri...
Halafu kinyiha nacho ni kisafwa kilichochangamka.
Kimalila ni kinyiha,tofauti yake ni maeneo tu..Hahaaa yaani sijui tu kwanini walitutenganisha Mbeya na Songwe. Na utashangaa wasafwa wanaelewana na wamalila.
Naomba moja
Hahaaa halafu nimekumbuka Shimba Ya Buyenze aliwahi kunitumia pdf ya kamusi ya kinyakyusa ila nilishaipoteza. SYB kama bado unayo ile kamusi naomba utusaidie tafadhali.Saint Anne alifanya hadi nikanunua daftari ili aanze kunifundisha hiko Kinyaki lakini over suddenly akasema eti Ada ya Udahili imepanda [emoji134][emoji134]
Bora tu unifundishe wewe hata kama kitakuwa cha kuombea Maji kitanifaa tu [emoji23]
Yeah tumejitahidi sana! Vipi una mpango wa kutembelea na wilaya nyingine nje ya Mbeya mjini?Ongezeni basi hata nyingine ya tatu [emoji16][emoji16]
On a serious note though....ni pazuri kuliko nilivyotarajia!
Naomba moja
Wameninunulia waliipamba sana kwa maelezo yao hadi nikatamani kuonja.Waambie tukutane kijitonyama…