sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,149
Nimeona kitu ya smine off black ice. Roho imeenda mbio
Nimeona kitu ya smine off black ice. Roho imeenda mbio
Naona ulikuwa half time[emoji23]Tupo 5 star hotel moja hapa mjini
[emoji23][emoji23]Naona ulikuwa half time[emoji23]
Safi,endelea[emoji109]
Hahaaa yaani kwanza hata sijui wametumia kigezo gani maana mkoa mzima mji ulioendelea ni Tunduma na angalau huko Mbozi! Ila hizo wilaya nyingine ni majanga tu barabara tu ni mbovu halafu ndiyo wamepewa airport ya kimataifa![emoji23][emoji23][emoji23]
Walivuruga sana mpangilio wetu.
Walituonea sana watu wa ileje..
Sasa hivi mkoa wa Songwe hata haueleweki.
Kwanza wandali walianza kugoma kugawanywa huu mkoa,
Wakasema wao wanachojua wapo mbeya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi hicho hawajaweka bado ofisi Mbozi,watu walikuwa wanaenda chunya
Hizi ni fedheha sana.
Kumbe uko vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbozi pale hamna kitu.Hahaaa yaani kwanza hata sijui wametumia kigezo gani maana mkoa mzima mji ulioendelea ni Tunduma na angalau huko Mbozi! Ila hizo wilaya nyingine ni majanga tu barabara tu ni mbovu halafu ndiyo wamepewa airport ya kimataifa!
Focus man focccuuuuusssssss!!![emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]
Mwee mwee mwee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nidahili Kwanza, suala la muda nitavumilia. Nikitumia miaka 3 kuhitimu usisite kunizawadia PhD ya mchongo walau na Mimi niitwe Dr. Grahams in future [emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125]
Tatizo hata sio ubichi, Bei ya kiongilio ni 15K/7$ mimi nilijichanganya nikaingia kwenye ratiba inayoonyesha muvi Hii kwa format ya Imax 3D/Hologram. Sasa ili uangalie muvi katika mfumo huu lazima uwe na miwani maalumi Unless utaona mawenge. Miwani wanauza 10K..So jumla 25K imelala, ila inauma maana after 2Months muvi unaweza kuipakua kwa bando la buku. Btw Pesa kitu gani bwana..Lazima upigwe parefu mzee maana movie bado mbichi hizo [emoji2][emoji2]
Nimeona kitu ya smine off black ice. Roho imeenda mbio
PhD in Nyakyusa languageMwee mwee mwee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani yupo Coet? Usinirushe roho plz.Akija kesho ni kuwagawia tu marks hapo coet[emoji16]
Big up....!
Akija muangalie vizuri[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani yupo Coet? Usinirushe roho plz.
Yaan j3 wanafunzi watashangaa lect anashusha desaz full ku enjoy,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe uko vizuri[emoji23]
Aiseee ningejaribu kuonja huu moto ningezimia[emoji39]
Chibongeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee utanifanya nihame huu uzi wallah, usinambie, hebu njoo PM nieleze kitu,Akija muangalie vizuri[emoji1787]
Teh na eti ndiyo wameweka Mbozi kama makao makuu ya mkoa wa Songwe! Hiyo stand yake tu ya mkoa inasikitisha na inazidiwa hata na stand ndogo za daladala za Dar na imepewa hadhi ya mkoa na kuna wakuu wa mkoa na wilaya kabisa!Mbozi pale hamna kitu.
Huu mgawanyo ifike mahala ufutwe tu.
Ileje siku hizi wametandaza mkeka angalau kunapitika.
Siku za nyuma barabara ilikuwa haipitiki.