Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan basi memes zinavyozagaa huko mitandaon had Co poaa, tatzo hizo gwanda zenu mkivaa mnatisha bhana,
Mtoto wa kaka akimuonaga cc (shangazi yake) amevaa hata boots tyuuh, atatimua mbio huyo km ameona kitu cha ajabu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
I'm out, The movie it really worth my time and money. It was soooo fascinating japo wamenipiga parefu asee

Nimeiona hiyo picha nikakumbuka the six infinity stones
Cc Da'Vinci

We kwenye sector hiyo nakuaminia movie hata iwe na siku moja cinemas we tayari ushaipata [emoji109][emoji109]

IMG_20211218_184314_1.jpg
IMG_20211218_184343_3.jpg
 
We si unataka kuchezea pombe[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa si mniletee nionje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naona mwamba amenitafuta,tayari kwa kuniletea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii hata nikiichezea roho haitamuuma sana maana si ghali kama ile Amarula,alitupa hela yake bure.
 
Kwahio ushaulizia na bei kabisa kumbe😅
 
Back
Top Bottom