Mtumiaji mzuri tu[emoji2]Huwa unatumia hivi vitu [emoji1]
Ndiyo maana nakupenda Mtumishi, umejua kusoma hitaji langu kwa wakati 🤸🤸😀Au tukutafutie na mke wa pili wa kinyaki?
Mtumiaji mzuri tu[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya ngoja nimsubiri aje
[emoji23] imagineMaana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkeo akiona hii atalia sana.
Ila wanawake tuna moyo!
Hapo unarudi mwenyewe umechoooka,anakuandalia na chakula ..
Kumbe umetoka kushinda mechi zako huko Dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Nifanyie mpango Mkuu, najua kwako Ada ya Udahili haitapanda ghafla kama kwa Mtakatifu.Hahaaa halafu nimekumbuka Shimba Ya Buyenze aliwahi kunitumia pdf ya kamusi ya kinyakyusa ila nilishaipoteza. SYB kama bado unayo ile kamusi naomba utusaidie tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha[emoji23][emoji23][emoji23]
Utuletee na feedback ya kitanda baada ya mechi.
K-vantUnatumia nini hasa…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndoa ngumu sana aisee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23] imagine
Hapo amejiboost na pombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona inakutoa[emoji38]
ISO M.CodD miwani yetu ya posta[emoji1787]
Nyie oleweni tu jamani [emoji119]Ndoa ngumu sana aisee[emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan memes zinachekesha had baas.Mwee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah wakishua bia watu wanaipandia pantoni we unataka uletewe... fata bia binti hahaha
Haya mambo yamenikata maini.Nyie oleweni tu jamani [emoji119]
Kwani sikukuu taari? [emoji1787]
HahaaaaaaHaya mambo yamenikata maini.
Naweza jikuta nakufa kwa presha mzima mzima[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah wakishua bia watu wanaipandia pantoni we unataka uletewe... fata bia binti hahaha