Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,055
ππππππππππππππππππππ
ππππππππππππππππππππ
Leo natoa ofa ya lunch kwa me na ke watakao tupia selfie kali ,ofa itakua breakpoint.255 lounge. Au tanzanite park. Wana selfika kazi kwenu
Ameshaweka pitia page mbiltatu za nyumaNkamu mbona sioni picha weka basiii
Ameshaweka pitia page mbiltatu za nyuma
IpoNkamu mbona sioni picha weka basiii
πKaedit kaitoa
Ohooo umepitwaaa..... Katupia Foto moja ameizingggggg.. ana jicho mattatta ndani ya miwani nzuriiii!!Kaedit kaitoa
β€πView attachment 2045759
Ngoja tuongeze kinga za mwili
[emoji38]Ohooo umepitwaaa..... Katupia Foto moja ameizingggggg.. ana jicho mattatta ndani ya miwani nzuriiii!!
[emoji38]Weee ngoja nitazame mpambano nione mshindi atakua nani
Ipo
Au jf wameipoteza??
Ipo hapo juuNkamu rudisha nikuonee
[emoji38]
Na wewe ushiriki
Ipo hapo juu
Sijaitoa
Mie nimeona tu hapo kwenye sweetheartOk have a wonderful and blessed trip/ day sweetheart!! Take care bosi akee[emoji182]
Sijui Nikusindikize na selfie bosiii!!!!! Sijui niache tu utanikuta ah!!
Wozaaaaaa mambo sindo hayo banaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Aah masuala ya kufokewa kama Mtoto mdogo eti kisa hujapika sijui hujaosha vyombo siyawezi kwa kweli hizo kazi nataka nifanye pale ninapojisikia mimi tuMimi nikivurugwa tu naacha.
Sitaki kabisa nifokewe,,,kama kitu nimekosea nataka niambiwe kistaarabu.
Mimi nafanya zote tena bila hata msaadaAah masuala ya kufokewa kama Mtoto mdogo eti kisa hujapika sijui hujaosha vyombo siyawezi kwa kweli hizo kazi nataka nifanye pale ninapojisikia mimi tu