reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Kaaah!!!we mpenda pilauu!Pilau kachumbari,mirinda nyeusi weeh utamu wake hapa![]()



Sent using Jamii Forums mobile app
Kaaah!!!we mpenda pilauu!Pilau kachumbari,mirinda nyeusi weeh utamu wake hapa![]()



Yaani wewe looh!Vile najisikia raha kuona mwandiko wangu ninaocharaza kama bata unapendwa![]()
Hellow mamy! Umependezajeee lol!![]()
Usifananishe chips kuku kaka na vitu vya ajabu ajabu..in this world!
Sent using Jamii Forums mobile app

Wanyaki leo tunaruka na red jamani.
Safi sanaTumeianza Xmass mapemaa

Peeza weweView attachment 2048375
Hello Bwagamoyooo
Mrembooo!!View attachment 2048375
Hello Bwagamoyooo
Hapa nlitamani sana kufika ila reviews kuhusu vyumba ikanikata moto..vipi ulizionaje au hujaingia
View attachment 2048375
Hello Bwagamoyooo

Vyumba ni vya kawaida sana kama ni mpenzi wa kulala mahali pazuri, hapakufai ila mazingira yanavutia.Hapa nlitamani sana kufika ila reviews kuhusu vyumba ikanikata moto..vipi ulizionaje au hujaingia












Tubadilishane miaka unajua sipendi ukubwa mie,
Shida madogo wanazingua halafu mama ananikabidhi mie niwarekebishe asee,,,,




jaman ukubwa n bahati, we hujui utu uzima dawa? Ameeeeeen!!Atarudi Yesu kuchukua kanisa
Jisafishe moyo wako ndugu yangu
Akirudi yesu Kristo Usiachwe
Itakuwa huzuni kwa wale wote watakaobaki
Watalia na kuomboleza
Wakijutia maovu waliyotenda
Angalia ndugu zangu usiachwe Yesu akija
.![]()
Amina.Ilikuwa alfajiri ya jumapili
Bwana Yesu alipoyashinda mauti
Kamba za kuzimu zilimwachia
Haleluya wokovu ni thabiti
Mwanakondoo kaondoa dhambi
Wala hakuna alilolisaza
Deni zetu zote amezilipa
Kwa damu.
Basi utwae uzima kwa kufurahi
Upokee kwa Bwana sasa
Ujijue hakika kwake utaishi
Bwana Yesu ameshafufuka
Yesu katoa uzima wa bure
Autakaye apokea bure
Ili aishi naye kule Mbinguni
Mileleee
![]()