Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Senkyu [emoji846][emoji846]Safari njema dogo
Senkyu [emoji846][emoji846]Safari njema dogo
We mtoto umeweka avatar mwandiko huo niliouparaza kama bata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dea [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590] umejua kunoga.
View attachment 2048375
Hello Bwagamoyooo
Pretty [emoji7][emoji7]View attachment 2048375
Hello Bwagamoyooo
Sijawahi kulala, ila huwa naenda tu kutembea au kwenye function.Hapa nlitamani sana kufika ila reviews kuhusu vyumba ikanikata moto..vipi ulizionaje au hujaingia
Vyumba ni vya kawaida sana kama ni mpenzi wa kulala mahali pazuri, hapakufai ila mazingira yanavutia.
Changamoto nyingine ni chakula si kizuri na huduma kwa mteja pia haiko vizuri sana
Bagamoyo [emoji4][emoji4]View attachment 2048579
Sidhani kama huku kwa kina Saint Anne & Heaven Sent kuna birian [emoji57] Ngoja lunch time ifike tuone.
And yeahhh...Mbeya pazuri kweli. Nadhani picha tu huwa hazipatendei haki.
Asante japo mpaka sasa hivi siwaoni mkijitolea kunitembeza [emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahah naamini.Ni jiji lililobarikiwa na Mungu[emoji23]
Maelezo zaidi mama....Drive hapajuiKuna this place inaitwa "Hookup" ipo Soweto; pita hapo ukajionee biriani la green city
Hapo sasa itakua safi yaan [emoji7][emoji7]Sidhani kama huku kwa kina Saint Anne & Heaven Sent kuna birian [emoji57] Ngoja lunch time ifike tuone.
And yeahhh...Mbeya pazuri kweli. Nadhani picha tu huwa hazipatendei haki.
Hakika picha huwa hazipatendei haki.Sidhani kama huku kwa kina Saint Anne & Heaven Sent kuna birian [emoji57] Ngoja lunch time ifike tuone.
And yeahhh...Mbeya pazuri kweli. Nadhani picha tu huwa hazipatendei haki.
Mkija mtakuta nsharudi zangu kwetu 😆Relax mgeni wetu, tunakuja.
Wote tunajisomba Bagamoyo[emoji23]Saint Anne na Hannah leo wanyaki day imehamia Bwagamoyo[emoji8][emoji8][emoji8]
Mwanjelwa[emoji173][emoji173][emoji173][emoji91]
Nipeni kazi niwatangazie 😉Hakika picha huwa hazipatendei haki.
Pamefunikwa na milima hivyo picha haziwezi kupaonyesha vizuri.
............
Huko kuna kitimoto tu,mambo ya biryani tumewaachia wadaslama[emoji23]
Nilivyoona ile siku mkiongea kilugha na Mtakatifu nilidhani ni wa kule, au Lugha zinaingiliana? 🤔Hahaaa mwee kumbe kuijua Sehemu ni hadi uwe umetokea huko eh? Haya bhana ila mimi si wa Tukuyu!