Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiachana na hiko kipaji chake unachodhani anacho, usije kuwa na wewe umevutiwa na Uhandsome wake kama Saint Anne anavyosema [emoji12]

Sijui kwanini sisi Wanaume wenye sura ngumu hamtumpendi [emoji134]

Poor me na Sura yangu kama ya Remmy Ongala [emoji24]
Haha wala sijavutiwa na muonekano wake mkuu kwa sababu mimi sioni kama ni sifa sana mwanaume kuwa mzuri wa sura dogo kipaji anacho. Mimi kati ya Messi na Ronaldo namkubali Messi na wakati Ronaldo ndiyo ana muonekano mzuri.

Watu wengi hasa sisi wanawake ukiwauliza wanamkubali nani kati ya hao watakuambia Ronaldo kwa sababu tu ni mzuri sijui mrefu na wanamchukia Messi eti kisa mfupi. Sie tunaofuatilia mpira hatuangalii hayo tunaangalia kazi uwanjani.

Anyway siyo mbaya yawezekana huyo naye yuko vizuri lakini mimi simkubali sana maana kwenye mpira kila mtu na machaguo yake. Kuna mwingine atakuambia Allan ndiyo yuko vizuri kwenye assists kuliko Bukayo ni mtu tu vile anaona.
 
Ukiachana na hiko kipaji chake unachodhani anacho, usije kuwa na wewe umevutiwa na Uhandsome wake kama Saint Anne anavyosema [emoji12]

Sijui kwanini sisi Wanaume wenye sura ngumu hamtumpendi [emoji134]

Poor me na Sura yangu kama ya Remmy Ongala [emoji24]
Nampenda kwa kuwa ni mtoto wa liverpool..
Nikasema kama ninavyompenda Steben Gerrard.
 
Leo twatoka nje ya Mji kidogo
20211218_085035.jpg
 
Back
Top Bottom