Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Happybelated bday Cocastic Mungu akupe kila la kheri,uwe mtu wa Mungu ,uwe na hofu na Mungu na uje kua na kizazi chenye manufaa ktk maisha yako...!!!akupeshe na Shari za wanadamu,hasadi na chuki na akuondeshee kijicho...Mungu akuongoze kwenye kila lenye heri na wewe wa kunyumba!
Nakupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaaaaaah mlongo pena ndi ujovi chabwina chene, nikumshukuru nnungu kwa kunivika hadi lelu naha,
 
Wanaoikumbuka the witcher
season 2 imetoka

Enzi hzo 24 hours ya jack Bauer ilifanya nkapigwa chaga moja hatari

Before huu mwaka haijaisha nadhan ntapigwa ingine

#Moviemaniac

Screenshot_20211218-123849.jpg
 
Back
Top Bottom