Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Byeeeeeeeeeeeee
Screenshot_20211218-013333.jpg
FB_IMG_16388248034238013.jpg
 
Ilikuwa alfajiri ya jumapili
Bwana Yesu alipoyashinda mauti
Kamba za kuzimu zilimwachia
Haleluya wokovu ni thabiti

Mwanakondoo kaondoa dhambi
Wala hakuna alilolisaza
Deni zetu zote amezilipa
Kwa damu.




Basi utwae uzima kwa kufurahi
Upokee kwa Bwana sasa
Ujijue hakika kwake utaishi
Bwana Yesu ameshafufuka


Yesu katoa uzima wa bure
Autakaye apokea bure
Ili aishi naye kule Mbinguni
Mileleee

 

Ingoje ahadi ya Mungu
Kwako alosema
Yeye ni mwaminifu atatimiza neno lake
Uweza unaye Mungu atendaye Neno
Simama kwenye ahadi hiyo.


Kama mvua inavyoinyeshea njia
Haiachi mpaka imezalisha mbegu hizo
Ndivyo lilivyo na Neno lake Mungu wetu
Simama kwenye ahadi hiyo


Ingoje ingoje
Ingoje ahadi ya Mungu huku ukiomba
Ingoje ingoje
Ingoje ahadi kwako
 
Umeweka wimbo kinywani mwangu
Bwana niimbe sifa zako
Umeniumba ili nikuabudu
Nakuabudu
Nakuabuduuuuu



Wewe Niko ambaye Niko
Milele iloyopita
Na milele ijayo
Sioni cha kunishibisha
Moyo wangu
Badala ya kukuabudu
Mtaa katifuu


Wewe uketiye juu ya VYOTE
Sifa hizi zifike KITINI PAKO
Wimbo huu ukawe MANUKATO
 
Back
Top Bottom