😂 Wifi bwana! Unamchuuza Kaka wa watu. Mtoni kwa Azizi Ali na Mbagala Kizuiani ndio maeneo yangu ya kujidaiJitahidi mzuge zuge dada wa watu angalau hata miezi 6.
Hata mwezi haujaisha unataka umpige chini chaa!!![emoji23]
Huyo NaddySL mzungu wa roho,,,wa mamtoni huko..
Hizi drama zako mtawezana kweli?
Ruksa, hamisha bila kuchelewaMkuu unaniconvice nihamishie majeshi kwake![emoji3]
Afike salama huko anako hamiaValentina atakukata kichwa mkuu [emoji12][emoji12][emoji12]
Ooh Asante . ..
Nimekaa Morogoro hata Bigwa sijafika
Na hapo Nguzo camp ni wapi ?
Ahsante sana mzee wa busara, ubarikiwe mno tena mno, na unisamehe nilipokukwaza.Bwana mdogo wewe;
Siku ile ulitoa kauli ya hovyo kuwa eti kwa jinsi unavyoandamwa na walimwengu hutegemei kuishi maisha marefu. Sikuipenda kauli hiyo na niliikemea hapo hapo. Na leo nakwenda kinyume na kauli hiyo tena; na natamka hadharani hapa kwamba katika jina la Yesu Aliye Hai utaishi maisha marefu mpaka uone watoto, wajukuu na vilembwe vyako.
Furahia birthday yako kwa amani na Mungu Akusimamie na kukuongoza daima.
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ameeeen!!.Halleluya Amen Halleluya
Halleluya Amen
Una nguvu Yesu una nguvu
Una nguvu Yesuuu
Unaweza Yesu unaweza
Unaweza Yesuuu
Unatosha Yesu unatosha
Unatosha Yesuu
Ni mshindi Yesu ni mshindi
Ni mshindi YesuuuView attachment 2047844
Nauonaga mgumu tu mimi .Mkono soft hadi rahaa
Wee mtakatifu mpe ex wetu connection hiyo[emoji1787]Jitahidi mzuge zuge dada wa watu angalau hata miezi 6.
Hata mwezi haujaisha unataka umpige chini chaa!!![emoji23]
Huyo NaddySL mzungu wa roho,,,wa mamtoni huko..
Hizi drama zako mtawezana kweli?
Maji as in H20 au maji yenye kilevi...
Acha tu nipige vyombo leo. Sitegemei kutoka hapa ndani mpaka labda Jumanne hivi. Hata nikijichakaza nalala tu naamka naendelea tena kupiga vyombo mpaka kieleweke [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo umekutwaa na jambo gani weyee?We mkaka tulikutana Pale bochi hospital mbezi kwa msuguri,na ukawa unatomasa tomasa kidoti changu Na ukaniuliza,nimezaliwa nacho?, nakusalimia sana kama upo hapa[emoji108]View attachment 2047852
Ni mbele kidogo ya Nashera; unaingia kushoto, kabla hujafika kwenye kile kidaraja cha Nguzo, utaona mabango. Au unaingilia Morogoro hotel, then unakunja kulia, ukivuka tu daraja la Nguzo, ushafika.
Kutembea napo ni wito; mimi angalau kuna matukio huwa yananilazimu kutembea, otherwise mmmh
I wish ungekuwa hapa Mtumishi nikuonyeshe fomyula ya hiki kinywaji ninachotumia...au unisaidie kugeuza hizi ribs kwenye oven...Sasa Mtumishi nagongaje kilevi bana; ni H2O kwenda front[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 2047873
Vaa Barakoa[emoji40],babu ni mkono Hui[emoji16]Nini hichi mjukuu? Unanipa wakati mgumu sana kupambana na mabaharia. Nachoka yaani [emoji24]
Kipapatilo[emoji23]Hicho kipapatio au upaja[emoji848][emoji848][emoji1]
Gd nyt by the way mummy!
Ugali bamia[emoji2440]Wewe unafikiri Yutong kama hii utawezana nayo kwa kula chips? We mjukuu vipi?
Ooh pole , Ni kucha ndefu au ?Siku nikikata kucha hivyo, hakuna kazi itakayofanyika. Vidole vinaniuma kupitiliza eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mlongo,yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo umekutwaa na jambo gani weyee?