Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We hunambii kitu, nilishawahi kujichanganya nikaingia kwenye anga zao! Kilichonikoa ni mbio zangu!! Maana nilichomoka Usain Bolt anasubiri! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole[emoji16],,,uliwakorofisha,si unawajua wa hapa wala hawanaga mambo mengi[emoji16],wanapunguziwa makali na watoto wazuri
 
Dadeqq! "Wrong Turn"

Kicheko cha huyu mjuba ni kiashiria cha tabu[emoji1787][emoji1787]
images%20(1).jpg
download%20(4).jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole[emoji16],,,uliwakorofisha,si unawajua wa hapa wala hawanaga mambo mengi[emoji16],wanapunguziwa makali na watoto wazuri
Mh! Sikuwakorofisha ila nilikatisha kwenye njia ambayo walishasema watu wasikatishe...na ndio shortcut!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom